Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Mwongozo (Kurasa za majadiliano)"

no edit summary
Kila makala ya wikipedia huwa na "Ukurasa wa Majadiliano". Hii ni sehemu muhimu ya mradi huu na msaada mkubwa wa kuelewana kati ya wanawikipedia na kwa kuboresha makala.
 
==UkurasawaUkurasa wa majadiliano wa makala==
Hapa ni mahali pa kuweka maswali, mapndekezo au maoni juu ya makala - si ndani ya makala!!
 
Si lazima lakini unashauriwa kujiandikisha kwanza kwa jina fulani. Hii haileti gharama kwako lakini utajulikana zaidi inasaidi mawasiliano.
 
=== Kujongeza ndani ===
Ukiingia katika majadiliano na majibu ni vema kutofautisha michango kwa kujongeza ndani. Kawaida ni kujongeza kila jibu hatua moja. Hii inaendelea hatua moja-moja hadi nafasi ya jibu imekuwa nyembamba mno halafu kurudi mbele tena.