Msitu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{kwc|Misitu}}
 
'''Misitu''' ni mkusanyiko wa uoto wa asili unaojumuisha miti ya aina mbalimbali na nyasi ambazo huweza kuwa fupi au ndefu.
Mara nyingi [[wanyama]] mbalimbali wadogo wadogo huishi na hutegemea uoto huo kwa kuwatimizia mahitaji yao kwa [[malazi]] na [[chakula]].
Line 5 ⟶ 7:
 
Hivyo katika kutimiza upatikanaji wa chakula kwa wingi ni lazima misitu ilindwe kwa nguvu zote katika ukuaji na ustawi wa [[jamii]].
 
{{mbegu}}