Lugha
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika IFM.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)


Utambulisho:

Jina langu ni Janeth John Jonathan. Ni mwanachuo wa chuo cha Usimamizi wa fedha(IFM). Ninachukua masomo ya shahada ya kwanza ya Sayansi ya kompyuta.

Mambo ninayopendelea:

Kubadilishana mawazo na watu wenye uelewa tofauti juu ya mambo ya jamii,michezo na maendeleo ya teknolojia na ndio sababu nimeona ni vema nami kushiriki katika kuhariri makala za kiswahili za wikipedia ili kuweza kutimiza malengo yangu na kujifunza mengi zaidi.

Mtazamo wa Baadae:

Kusababisha mabadiliko katika jamii juu ya mitazamo chanya ambayo italeta manufaa. Ningependa siku moja niweze kuwa chachu katika jamii kutokana na mchango ambao nitaweza kuutoa na hivyo kusababisha mabadiliko katika jamii.