Shule : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Chizongwe Secondary School.jpg|thumb|right|350px|Shule ya Sekondari ya Kifundi Chizongwe mjini [[Chipata]] - [[Zambia]]]]
[[Picha:ZambianSchool2.JPG|thumb|right|350px|Shule ya
'''Shule''' (kutoka [[Kijerumani]]: '''Schule''';
Leo hii katika nchi nyingi watoto wanatakiwa waende shule kujifunza mambo ya msingi ambayo watayahitaji kwa maisha yao ya baadaye Mambo hayo ni masomo. Kila somo lina fahamu zake tofauti katika kufundisha. Kwa mfano: [[kuandika]], [[kusoma]], na kuhesabu namba ([[hisabati]]).
Line 8 ⟶ 10:
Katika nchi nyingi masomo ya shule hupangwa kwa ngazi kufuatana na umri wa wanafunzi:
# Shule ya
# Shule ya Msingi kuanzia umri wa miaka 6 kwa muda usiopungua 4 hadi 8
# Shule ya Sekondari (
Ngazi ya juu inayopatikana katika mfumo huu ni mtihani unaoandaa kwa kuingia katika ngazi ya juu ya elimu kwenye vyuo na [[Chuo Kikuu]].
Kwa kawaida, mbali ya shule zinazoendeshwa na [[serikali]], zipo nyingi zinazoendeshwa na [[dini]] na taasisi za binafsi.
Pamoja na hayo kuna shule zinazowalenga watu wazima au watu ambao hawakuendelea moja kwa moja katika elimu yao. Nchi kadhaa huweka mkazo kwa shule ya ufundi inayolenga kuwapa wanafunzi wake elimu nzuri katika fani fulani ya kibiashara au kifundi.▼
Pamoja na hayo kuna shule zinazowalenga watu wazima au watu ambao hawakuendelea moja kwa moja katika elimu yao.
▲
{{mbegu-elimu}}
[[Jamii:
[[ar:مدرسة]]
|