Annise Parker : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with 'thumb|Annise Parker '''Annise Danette Parker''' (amezaliwa tar. 17 Mei, 1956ni meya mpya wa mji wa Houston jimboni Texas. Ni meya shog...'
 
dNo edit summary
Mstari 1:
[[image:Annise Parker.JPG|thumb|Annise Parker]]
'''Annise Danette Parker''' (amezaliwa tar. [[17 Mei]], [[1956]]) ni meya mpya wa mji wa [[Houston]] jimboni [[Texas]]. Ni meya shoga wa kwanza wa mji mkubwa nchini [[Marekani]]. Wakati wa kampeni za uchaguzi alijulikana sana wakati huo alipojitangaza kuwa ni shoga. Parker ni ni mwanachama wa [[Democratic Party (United States) |Chama cha Kidemokrasia]] na alikuwa ni mwanachama wa baraza la mji katika Houston.
 
== Viungo vya Nje ==