Joshua Nkomo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
picha
No edit summary
Mstari 28:
 
===Siasa===
[[ImagePicha:200px-Nkomo-ZAPU.jpg|thumb|200px|left|]]
Nkomo alianzisha chama cha National Democratic Part (NDP) , na mwaka ambao waziri Mkuu wa Uingereza bwana Harold Macmillan alipoongelea “upepo wa mabadiliko” unavuma katika Afrika [[Robert Mugabe]] aliungana nae. Chama cha NDP kilifungiwa na serikali ya kibabe ya Smith na baadae chama cha Zimbabwe African People Union ZAPU ambacho pia kilianzishwa na Joshua Nkomo pamoja na Robert Mugabe mwaka 1962, kilichua nafasi ya NDP. Lakini pia kilizuiwa mapema.
Chama cha ZAPU, kiligawanyika mwaka 1963, wakati wengine wahisi mgawanyiko huo ulikuwa ni kutokana na masuala ya Kikabila, lakini zaidi inaonesha kuwa mgawanyiko huo ulitokana na kushindwa kwa Sithole, Mugabe, Takawira na Malianga kuchukua madaraka ya ZAPU kutoka kwa Nkomo. ZAPU kikabaki chama chenye mjumuisho wa makabila. Mengi hadi kupatika kwa uhuru