Geoffrey William Griffin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
 
 
Starehe hutoa elimu ya hali ya juu bila malipo kwa mayatima na watoto wengi maskini wa Afrika (kwa mfumo unaofanana na [[Christ's Hospital]]). Wanfunzi wengi wa zamani sasa ni watu maarufu nchini Kenya na ulimwenguni. (Waziri mstaafu [[(Raphael Tuju]]; [[Paul Ereng]], mshindi wa medali ya dhahabu ya Olimpiki; Dk [[Amrose Misore]], Naibu Mkuu wa Mkurugenzi wa Huduma ya Afya; na Prof [[Prof George Magoha]], Daktari wa upasuaji na Mwanaurolojia ambaye ni Makamu wa Chansela wa sasa wa [[Chuo Kikuu cha Nairobi]] ni wachache tu ya Wanastarehe wa zamani).