Lugha
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.

Martin Nduati ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi, kitivo cha Udaktari, mwaka wa Nne. Nimefaidika pakubwa na Wikipedia katika kufanya utafiti na ningependa kuchangia katika jumuia hii ili wengine wafaidike pia. Natumai kuendeleza kanuni za Wikipedia na kukutana na waandishi wengine katika ulimwengu wa tovuti.

Kiswahili ni lugha yangu ya pili na ni jambo zuri kuona kuwa takriban watu milioni 100 wanaozungumza Kiswahili nje na ndani ya bara la Afika wataweza kupokea Wikipedia katika lugha wanayoielewa kwa ufasaha. Ni furaha kwangu kuchangia katika Kamusi elezo huru.