Gifted Hands, The Ben Carson Story : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 18:
 
===Sehemu ya nne===
Akiwa anefanya vizuri sasa katika masomo yake, Ben anaendelea kukabiliwa na mambo ya kibaguzi katika shule ya Hunter Junior High.Na ndio katika wakati huu hasa,,Ben natambua umuhimu wa Mungu katika maisha yake. Katika sehemu ianyofuatia yaani sehemu ya tano,Ben ana kabiliwa na hasira ya ajabu,anajari hata kumuua rafiki yake anaitwa Bob na kisu na ndipo Ben anapogeuka na kuanza kuani uwepo na msaada wa Mungu katika maisha yake.
 
==Kuanza kupenda Udaktari==
Ben alionesha dalili za kuwa daktari akiwa bado mdogo sana, kutokana na kumwona kaka yake akiwa na nguo za jeshi la ROTC Ben alivutiwa na kuamua pia kujiunga na jeshi, alifanya vizuri sana akiwa huko na kupata nafasi mbalimbali za uongoza kiasi cha kumpita kaka yake. Baadae aliacha jeshi na kuanza kujifunza muziki. lakini hadi wakati huu, bado aliendelea kupenda kuwa daktari.
 
==Kuelekea kutimiza ndoto==
===Kuchagua Chuo===
Wakati wa kuchagua chuo ulipofika Ben alikumbana na mtihani mwingine, akiwa na dola kumi ambayo ndio kiingilio halisi cha fomu ya kujiunga, Ben alitaka kuchagua kati ya chuo cha Yake na chuo kikuu cha Harvard. Baadae aliamua kuchagua na hatimaye kujiunga na chuo kikuu cha Yale ambapo huko alipata vikwazo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kushindwa kuelewa baadhi ya masomo hususani somo la Kemia na kupata muujiza wa kuota mtihani. Akiwa chuoni, Ben anakutana na msichina aniyeitwa Candy, ambaye baadae ndiye anakuja kuwa mke wake.Baadae Ben anakuwa daktari na kuanza kazi katika Hospitali ya John Hopkins.
 
===Akiwa Kazini===
Akiwa kazini katika hospitali ya John hopikins, Dr Ben anafanya upasuaji wa hali ya juu, huku siku za mwanzo akikabiliwa na hali ya ubaguzi kutokana na yeyey kuwa mwenye asili ya Afrika.
Lakini Dr Ben anafanikiwa kufanya upasuaji ambao kwa hakika ulionekana maajabu, hususani alipoongoza timu ya madaktari waliotenganisha mapacha wawili waliokuwa wameungana katika eneo la kichwani na watoto wote kuweza kuishi baada ya Upasuaji huo.
 
===Familia yake===
Akiwa na watoto wawili, na mke wake Candy Ben anatoa mwanga kwa watoto wadogo hususani wanookuwa na kuwa na vipaji maalumu, kugundua vipaji vyao na kuvifanyia kazi ili kuweza kufikia malengo yao. Ben na Candy wanapanga kuanzisha taasisi itakayowasaidia watoto wadogo wenye vipaji likini hawana uwezo wa kusoma.
Anaendelea katika kitabu cha "Think Big"
 
===Mrejeo===
#ISBN 0-310-21469-6
 
 
[[Janii: Vitabu]]
[[Jamii: Vitabu vya Ben Carson]]