Paul Tergat : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
Paul Tergat
[[Picha:tergat1.jpg|thumb|Mwanariadha maarufu wa Kenya]]
 
'''''Paul Kibii Tergat '''''(alizaliwa 17 Juni, 1969) ni mwanariadha maarufu wa [[Kenya]]. Yeye alishikilia rekodi ya riadha ya masafa marefu tangu mwaka wa 2003 hadi 2007,akiwa amekimbia kwa muda wa 2:04:55, na anaonekana kama mmojawapo wa wakimbiaji waliofanikiwa kabisa kwa wote.
Katika hali ya kuzingatia mbio ya masafa marefu tu,Tergat ameshinda tuzo nyingi na kuweka rekodi kadhaa za dunia kwenye uwanja,kwenye mbio za nchi kavu na hata kwenye barabara ya lami. Alipewa jina la utani la "Gentleman",Tergat ni mtu wa kufanya bidii katika kazi zake na hujipa motisha sana. Yeye huishi na hufanya mazoezi yake ya mbio [[Ngong]],karibu na jiji la [[Nairobi]].
 
 
== Maisha Yake ya Awali ==
Paul Tergat alizaliwa tarehe 17 Juni, 1969 katika [[Riwo]], wilaya ya [[Baringo]] katika mkoa wa [[Bonde La Ufa]] nchini [[Kenya]].
 
 
Mstari 13:
== Kazi ==
Tergat alishinda tuzo ya mashindano ya [[IAAF World Cross Country]] mara tano mfululizo,1995-1999 ambayo ilkuwa rekodi. Tergat anssasemaalisema, "Mbio za nchi kavu ndizo mimi nilipenda zaidi." Ilikuwa dunia yangu na kitu nilichopenda kabisa. Kabla ya [[IAAF]] kuanzisha mbio fupi mwaka wa 1998,wanariadha dunia yote wa daraja tofauti kutoka kwa 1500 hadi wa mbio za masafa marefu walikuwa katika mbio sawa."
 
Yeye alishinda Mashindano ya mbio ya Lisbon 2000 kwa kuweka rekodi mpya ya mbio hizo na muda bora ya kibinafsi wa 59.06,zote bado zipo hadi mwaka wa 2010. Yeye alishinda mbio hizo tena mwaka wa 2005. Mafanikio ya Tergat pia ni ushindi mara tano katika Mbio ya Barabara za Saint Silvester, mbio muhimu kabisa katika mbio za barabara za [[Amerika Kusini]]. Yeye anashikilia rekodi kwa mbio ya umbali wa kilomita 15, ambayo yeye aliiweka mwaka wa 1995. Umaarufu wake katika mbio ya Saint Silvester umempa sifa sana nchini [[Brazil]].
 
Yeye amekuwa na mashindano makali na rafiki yake [[Haile Gebrselassie]] wa [[Ethiopia]]. Katika fainali ya mbio ya Olimpiki zaya 10,000m [[Olimpiki ya Atlanta]] ya 1996 na za [[Olimpiki ya Sydney]] ya 2000,alishindwa na Gebrselassie kwa muda mdogo sana. Katika mwaka wa 2000, Gebrselassie alipata ushindi kwa tusui wa sekunde tu.
 
Tergat alimaliza mbio akiwa wa pili baada ya Gebrselassie katika mwaka wa 1997 na 1999 kwa Mbio ya Mabingwa wa Dunia katika 10,000 m, na kumaliza akiwa wa tatu katika toleo la mbio hizo la 1995 nyuma ya Gebrselassie na Khalid Skah wa [[Morocco]].
 
Kwenye treki,Tergat alivunja rekodi ya dunia ya Gebrselassie katika mbio ya 10,000m tarehe 22 Agosti 1997 mjini [[Brussels]] kwa muda wa dakika 26:27.85. Rekodi hii ilivunjwa tena na Gebrselassie katika mwaka wa 1998 (kwa muda wa dakika 26:22.75), lakini muda wa Tergat unabakia kuwa rekodi nchini Kenya. Tergat akavunja rekodi ya dunia ya mbio ya nusu masafa marefu tarehe 4 Aprili 1998 mjini Milano[[Milan]] kwa muda wa dakika 59:17. (Tergat alikuwa amewahi kukimbia kwa dakika 58:51 katika mbio ya nusu masafa marefu za Stramilano nusu marathon mwaka wa 1996, lakini pia ya kuelekeza wanariadha ilikuwa imewekwa vibaya na kuifanya kozi iwe fupi.Hivyo basi,hakuna rekodi iliyokubaliwa kutoka mbio hizo.) Rekodi yake ilipita rekodi ya dakika 59:47 iliyowekwa na Moses Tanui katika mwaka wa 1993. Rekodi yake Tergat ilivunjwa mwaka wa 2005 na Samuel Wanjiru,anayetoka Kenya pia.
 
Tergat na Gebrselassie walipokimbia katika mbio ya [[London]],Tergat alimshinda Gebrselassie alipochukua nafasi ya pili nyuma ya Khalid Khannouchi. Wanariadha hao watatu wallikimbia tena katika toleo la 200z la mbio hizo za London lakini Tergat tu ndiye aliyemaliza kati ya wote watatu.
 
''''''Wasifu wa Mbio''''''
[[Picha:tergat2.jpg|200px|left|[[Paul Tergat]],[[Drew Barrymore]] na [[Josette Sheeran Shiner]] walipokutana na [[Condoleezza Rice]]]]
Tergat alimaliza katika nafasi ya pili katika mbio zake tatu za kwanza: mbio ya London(mwaka wa 2001 na 2002) na mbio ya Chicago(mwaka 2001). Aliendelea kukimbia mbio hizo refu na kuchukua nafasi ya nne mara mbili: mbio ya Chicago (2002) na mbio ya London (2003).
Mstari 33:
Rekodi ya dunia ya Tergat ilivunjwa katika mwaka wa 2007 na Haile Gebrselassie wa Ethiopia. Muda huo ulibaki kuwa rekodi ya Kenya hadi mwaka wa 2009,Duncan Kibet na James Kwambai(aliyechukua nafasi ya pili) walikuwa na muda wa 2:04:27 katika mbio ya Rotterdam.
 
Tergat alishinda mbio ya [[New York]] tarehe 6 Novemba 2005 alipotimua mbio kali katika mkondo wa mwisho ili kumshinda Bingwa mtetezi Hendrick Ramaala kwa muda wa 2:09:29.90 kwa 2:09:30.22.
 
Katika mbio ya [[Olimpiki ya Athens]] ya 2004, Tergat alikosa maji yake spesheli alioandaliwa na akanywa maji ambayo hutolewa na waandalizi. Yeye alikuwa amezoea kunywa maji spesheli enye joto la kawaida; waandalizi walipena maji baridi, ambayo yalimtaabisha Tergat. Alihitimu nafasi ya 10 katika mbio hizo.
 
Mwaka uo huo,Tergat alizindua Mbio ya nusu masafa marefu za Baringo,akiiunda njia ya mbio hizo kupita karibu na mji wake wa nyumbani.
 
Wiki moja kabla ya mbio ya [[London]] Aprili 23 2006,Tergat alijitoa kwa kuumia misuli ya miguu. Akisema kuwa kuumia huko ni katili kwake,alilazimishwa kujitoa kwenye mbio hiyo iliyokuwa na Haile Gebrselassie. Felix Limo wa Kenya ndiye aiyeshinda mbio hiyo.
 
Marílson Gomes dos Santos alishinda mbio ya New York ya 2006;huku Tergat akimaliza akiwa nafasi ya tatu. Gomesa aliacha kikundi cha kuongoza katika maili ya 19 lakini Tergat hakumsogea.Tergat alisema baadaye, "Kusema kweli,sikujua yeye ni nani." Tergat alimkaribia Gomes kwa maili tano za mwisho lakini hakumpita.
Mstari 49:
Yeye alionyesha azimio la kutaka kushindana katika Olimpiki ya mwaka wa 2008,lakini hakuchaguliwa kuwakilisha Kenya. Alihitimu nafasi ya 4 katika mbio ya mjini New York baadaye katika mwaka wa 2008.
 
Katika mwaka wa 2009, yeye alishinda mbio ya Lake Biwa katika [[Ujapani]], kwa muda wa 2:10:22. Mnamo Oktoba 2009, yeye alikuwa mgeni rasmi katika kuzindua Mbio ya [[Belgrad]] ya Kihistoria. Ingawa hakushinda kamwe mbio zozote kaika miaka ya 1990, alikuwa mshindani pekee kukimbia katika mbio zote nne na kumaliza katika nafasi tatu za kwanza kila mara. Alisema nia yake ilkuwa kufunga kazi yake katika mbio hiyo na akasifiwa njia iliyokuza utamaduni wa Serbia.
 
 
Mstari 93:
| 10,000 m || align=right | 26:27.85 || align=right | 1997-08-22 || [[Brussels]]
|-
| 10 km (roadbarabarani) || align=right | 27:45+ || align=right | 2006-03-26 || [[Lisbon]]
|-
| 15 km (roadbarabarani) || align=right | 42:04+ || align=right | 1998-04-04 || [[Milan]]
|-
| TenMaili mileskumi (roadbarabarani) || align=right | 45:12+ || align=right | 1998-04-04 || [[Milan]]
|-
| 20 km (roadbarabarani) || align=right | 56:18+ || align=right | 1998-04-04 || [[Milan]]
|-
| HalfNusu marathonmasafa marefu || align=right | 59:06a || align=right | 2000-03-26 || [[Lisbon]]
|-
| 30 km (roadbarabarani) || align=right | 1:29:00+ || align=right | 2002-04-14 || [[London]]
|-
| MarathonMasafa marefu || align=right | 2:04:55 || align=right | 2003-09-28 || [[Berlin]]
|}
"+" Inaonyesha alama kuweka en route wakati tena mbio
 
"a" inaonyesha mwendo kidogo downhillUmbali. Marko Tarehe!! Kikao chake
3,000 m 7:28.70 1996/08/10 Monako
5,000 m 12:49.87 1997/08/13 Zürich
10,000 m 26:27.85 1997/08/22 Brussels
10 km (barabara) 27:45 + 2006/03/26 Lissabon
15 km (barabara) 42:04 + 1998/04/04 Milan
Maili kumi (barabara) 45:12 + 1998/04/04 Milano
20 km (barabara) 56:18 + 1998/04/04 Milano
Nusu marathon 59:06 a 2000/03/26 Lissabon
30 km (barabara) 1:29:00 + 2002/04/14 London
Marathon 2:04:55 2003/09/28 Berlin
 
 
 
 
== Shughuli nyingine ==
Line 135 ⟶ 119:
== Marejeo ==
[ Washindi wa mbio ya Lisbon]
[ Filamu ya Olimpiki ya Sydney ya 2000 YouTube]
[ Mbio ya 10000m]
[ IAAF, June 27, 2009: Masai hufanya kuchelewa kwa Tergat kuwa na thamani - Mabingwa wa Kenya, Siku ya Pili.]
[ Maendeleo katika mbio ya masafa marefu.]
[ Tergat akimbia chini ya 2:05 Berlin - IAAF]
[ Filamu ya Youtube.]
[ Rekodi ya dunia ya Paul Tergat.]
[ Mbio ya Berlin]
[ Tovuti ya Daily Nation tovuti, Aprili 9, 2009:Duncan Kibet, mwanariadha maarufu.]
[ YouTube -Mambo mazuri yaliyofanyika kwenye mbio ya 2006 New York.]
[ IAAF, 1 Machi 2009: Tergat ashinda Mbio ya Lake Biwa katika muda wa 2:10:22]
[ Tergat asaidia kwa Uamsho wa mbio ya Belgrad ya Kihistoria ]
[ The Standard, Oktoba 3, 2005: Mpango wa Tergat unahitaji kuungwa mkono.]
[ IAAF, Januari 17, 2009: Kiprop na kuchukua Chepkurui wanashinda mbio ya Kenya Armed Forces Cross Country lakini 'kurudi kwa Tergat ndio yazungumziwa zaidi']
 
 
 
Line 157 ⟶ 140:
[[http://www.paul-tergat.net/ wakfu kwa Paul Tergat Tovuti ya kwanza kuhusu Tergat pekee yake]]
 
[ Habari kuhusu mbio alizokimbia]
[ Maelezo mafupi ya Rosa na Associati.]
[ Paul Tergat akipambana Haile Gebrselassie]
{{DEFAULTSORT:Tergat, Paul}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1969]]
 
[[Jamii:Watu wanaoishi]]
 
[[Jamii:Wanariadha Wakenya wanaokimbia umbali mrefu]]
 
[[Jamii:Wanariadha katika Olimpiki ya 1996]]
 
[[Jamii:Wanariadha katika Olimpiki ya 2000]]
 
[[Jamii:Wanariadha katika Olimpiki ya 2004]]
 
[[Jamii:Wanariadha wa Olimpiki wa Kenya]]
 
[[Jamii:Wakenya waliopata medali ya fedha katika Olimpiki]]
 
[[Jamii:Wanaoshikilia rekodi za dunia]]