Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
  • usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
  • usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
  • do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

--Mr Accountable (majadiliano) 05:04, 16 Desemba 2009 (UTC)Reply

Picha za Wikipedia

hariri

Hi, thank you for uploading new pictures to the Wikipedia! Your contributions are appreciated. As far as uploading pictures is concerned, there has to be a copyright permission for each picture. Right now we are just adding copyright tags ourselves, but in the future we will have to start deleting unlabeled pictures, as is done on the other wikipedias. Please use the "Licensing" box on the Upload page, even though some of the material is not properly translated into Kiswahili yet. Please let me or another administrator know if you have any questions. Thank you. --Mr Accountable (majadiliano) 01:49, 9 Januari 2010 (UTC)Reply

Hi, please check these new guidelines: Msaada:Picha. Cheers! --Mr Accountable (majadiliano) 10:17, 11 Januari 2010 (UTC)Reply

Hongera

hariri

Salam, Kandyzo! Nimeona makala zako nyingi za watu wa masuala ya mpira. Ninasema tena hongera! Lakini pia nimeona mara kadhaa hauweki kitu kama INTERWIKI. Interwiki ni viungo vya makala unayoiandika kwenda katika Wikipedia nyinginezo kama vile Kiingereza, Kijerumani, Kifaransa, Kihispania, na kadhalika. Viungo hivyo huwekwa mwishoni kabisa mwa makala vikiwa sawa na jina la makala - mfano:

[[en:Steve Tilson]] - hiyo en: ni msimbo wa lugha ya Kiingereza. Misimbo mengine kama makala ipo kwa lugha ya Kijerumani na wengineo ni [[de:JINA LA MAKALA]], [[es:JINA LA MAKALA]], [[fr:JINA LA MAKALA]], [[tr:JINA LA MAKALA]]

Mifumo hiyo siyo lazima wewe uanze kufiria, la. Ukichukua makala kutoka Wikipedia ya Kiingereza, basi yenyewe mwishoni inakuwa na interwiki kwa chini. Siyo lazima uunge kwenda Wikipedia nyinginezo - hata ukiunga kwenda Kiingereza, basi maroboti yatakuja na kuunganisha makala hiyo kwenda Wikipedia nyingine. Kingine, si utaratibu wa kuacha kuandika kichwa cha makala. Mfano: makala ya Steve hukuandika chochote mwanzoni, badala yake umeaika katika sehemu ya HISTORIA. Hii si format ya Wikipedia! Kila la kheri na ahsante! Wako,--MwanaharakatiLonga 08:12, 19 Januari 2010 (UTC) Reply

Muundo wa makala

hariri

Ndugu, unaanza kuandika makala bila kuweka maelezo ya mwanzo kabisa ya makala - badala yake, unayaandika kwenye "WASIFU" au "HISTORIA". Ndugu, huu si utaratibu na mpangilio/muundo wa makala za kamusi elezo ya wikipedia. Kila makala inabidi iandikwe kama jinsi inavyotakiwa. Mfano:

LaShawn Merritt (amezaliwa 27 Juni, 1986) ni mwanariadha kutoka nchini Marekani, ambaye amebobea katika mbio za mita 400.

Halafu tena hizo JAMII. Sio lazima kuweka rundo la jamii kama jinsi unavyofanya, la. Unaweza kuweka jamii tu kama vile Jamii:Wanariadha wa Marekani, Waliozaliwa... Watu Walio Hai, basi. Wanariadha wa nchi fulani inatosha - kuliko kujaza mijamii kibaoooo ambao haina hata mwelekeo. Jitahidi ufuate hivi ndugu. Kila la kheri.--MwanaharakatiLonga 17:21, 21 Januari 2010 (UTC) Reply

makala zihitajizo habari

hariri

Ndugu Kandyzo, salaam! Wakati wa shindano, makala nyingi zimeanzishwa bila kuwekewa yaliyomo hata kidogo, nasi wanawikipedia hatukuwa na nafasi ya kurekebisha sana. Kwa hiyo sasa, naomba tusaidiane kusawazisha hizo makala. Kwa mfano, ungeweza kuanza kwa kuangalia orodha ya makala bila jamii. Bila shaka utagundua kadhaa ambazo ni duni, labda yenye maneno mawili matatu tu. Ndivyo nilivyogundua k.m. na makala ya Henri Fayol, mhandisi Mfaransa wa karne ya 19. Sasa ukiangalia mabadiliko niliyoyaingiza utapata mambo ya msingi ya wikipedia. K.m. naingiza kigezo cha {{DEFAULTSORT}} kwa ajili ya orodha ya makala katika jamii ifuate alfabeti vizuri. Tena naingiza jamii za miaka ya kuzaliwa (k.m. [[Jamii:Waliozaliwa 1841]]) na ya kufariki (k.m. [[Jamii:Waliofariki 1925]]). Pia, ikiwa ni makala fupi bila maelezo mengi, naingiza kigezo cha {{mbegu-mtu}} (yaani kama ni mtu). Hatimaye, naingiza kiungo kwa wikipedia ya Kiingereza (k.m. [[en:Henri Fayol]]) ambapo naweza kupata code kwa picha ya mtu (k.m. [[Image:Fonds henri fayol.jpg|thumb|right|Henri Fayol]]) pamoja na habari nyingine. Nitashukuru kwa msaada wako katika kuboresha makala mpya zilizoachwa duni. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 10:59, 2 Februari 2010 (UTC)Reply

Kenyan Wikipedian Stories

hariri

Hi!

My name is Victor Grigas and I'm a storyteller with the Wikimedia Foundation in San Francisco. I'm chronicling the inspiring stories of the Wikipedia community from around the world. Stories are critical to inform and inspire the general public to support the Wikipedia movement by donating their money or to become volunteers themselves.

After seeing this inspiring story about Kenya's very own Gabriel Nderitu -

http://newsfeed.time.com/2010/10/26/kenyan-man-builds-airplane-in-yard-based-mostly-on-wikipedia-entries/

and hearing about the 'Project for Kenyan Schools', I thought that it might be fruitful to plan a trip to Kenya to interview Kenyan Wikipedians face-to-face.

I would need to confirm that I have at least 15 people to speak with who may have interesting stories about Wikipedia to make the trip worth the money. If needed, I could hire a translator. My understanding is that iHub in Nairobi hosts Wiki-meetups once a month. It may be feasible to attend a meetup there and interview people individually after that?

Please let me know what you think, I would very much like the opportunity to represent Wikimedia Kenya in the fundraiser this year.

I am sending this message to everyone I can reach at Wikimedia Kenya. Please let me know if there is a more formalized process to reach people.

Thank you for your time,

Victor Grigas

user:Victorgrigas

vgrigas@wikimedia.org

Vgrigas (majadiliano) 21:01, 2 Aprili 2012 (UTC)Reply