Jamhuri ya Watu wa Zanzibar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d mbegu-jio
No edit summary
Mstari 34:
|}
[[Image:Zanzibar and Pemba Islands.jpg|thumb|Visiwa vya Unguja na Pemba (ramani haionyeshi umbali kati ya visiwa hali halisi)]]
'''Jamhuri ya Watu wa [[Zanzibar]]''' ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa [[Tanzania]] inayojitawala katika mambo yake ya ndani. Eneo lake ni sawa na [[funguvisiwa]] ya '''Zanzibar''' iliyopo mbele ya mwambao wa [[Afrika ya Mashariki]] karibu na [[Tanganyika (nchi)|Tanganyika]] au Tanzania bara. Inajumuisha visiwa vikubwa vya [[Unguja]] na [[Kisiwa cha Pemba|Pemba]] pamoja na visiwa vidogovidogo.

Kwa jumla mikoa mitano ya Tanzania imo ndani ya Zanzibar ikiwa mitatu iko Unguja na miwili Pemba. Hadi [[mapinduzi ya Zanzibar]] ya mwaka 1964 sehemu hizi zilijulikana kama [[Usultani wa Zanzibar]].
 
Zanzibar inatawaliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ). Raisi [[Amani Abeid Karume]] aliyekuwa mgombea wa [[CCM]] amechaguliwa mara ya pili na wananchi wote tar. 30.10. 2005 katika kura iliyopingwa na chama cha Upinzani [[CUF]].