Msaada:Picha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza kupakia
No edit summary
Mstari 68:
 
Lakini tahadhari: usishangae ukiulizwa tena - maswali yale hayawezi kuelezwa hapa katika mistari miwili!
[[Pakia_faili.jpg|thumb|250px|Dirisha la kupakia]]
 
===Kupakia Picha===
Baada ya kuhakikisha ya kwamba picha uliochagua ni halali kuingizwa katika wikipedia unahitaji kuipakiza ("upload").