Zain Verjee : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
 
{{Infobox journalist
| name = Zain Verjee
| image =
| caption =
| birthname = Zain Verjee
| birth_date = {{birth date and age|1974|2|11}}
| birth_place = [[Kenya]]
| age = 34
| death_date =
| death_place =
| education =
| occupation = Mwanahabari,Mtangazaji habari
| alias =
| gender = [[Mwanamke]]
| status =
| title =
| family =
| spouse =
| children =
| relatives =
| ethnic =
| religion = Mwislamu Ism'aili
| salary =
| networth =
| credits = kipindi cha CNN cha ''World Report''
| agent =
| URL =[http://www.cnn.com/CNN/anchors_reporters/verjee.zain.html]
}}
==Historia==
Zain Verjee (alizaliwa 11 Februari, 1974) ni mwandishi wa [[Kanada]] mwenye asili ya Kihindi.Alizaliwa na kulelewa nchini [[Kenya]]. Hivi sasa, yeye ni mtangazaji wa habari katika kipindi cha ''CNN'' cha ''World Report'' yaani ripoti ya dunia nzima,Kipindi hiki huandaliwa jijini [[London]],[[Uingereza]]. Hapo awali, yeye alifanya kazi kama msoma habari katika kipindi cha ''The Situation Room'', mwanahabari mshirika wa idara ya serikali na mtangazaji mwenza wa kipindi cha CNN cha ''Your World Today.''