Tovuti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
LA2 (majadiliano | michango)
d jamii
kutokana na namna ya matumizi, wingi ni tovuti, na "wavuti" ni sawa na intaneti au mtandao
Mstari 1:
'''Tovuti''' ni mkusanyiko wa kurasa zilizoandikwa kwa lugha mbalimbali za [[tarakilishi]] kama vile [[HTML]], [[PHP]], [[XHTML]] na kadhalika na ambazo kwa pamoja hujumuika katika kutoa habari au maelezo kuhusu jambo fulani. Lugha hizi, yaani HTML, PHP, XHTML na kadhalika zinaweza tu kusomwa na kutafsiriwa na programu kama vile [[Internet Explorer]] na [[Mozilla Firefox]] kwa lugha ambayo inaweza kueleweka na binadamu. Wingi wake ni Wavuti"tovuti" vile vile. Tovuti zote pamoja zinaitwa "[[mtandao]]" au "Intaneti" au "wavuti".
 
==Viungo vya nje==