Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Vladimir Putin at the Millennium Summit 6-8 September 2000-23.jpg|thumb|300px|LeadersViongozi ofwa thenchi fivetano permanentambazo memberni stateswanachama atwa akudumu summitkatika inmkutano wa mwaka 2000]]
 
'''Baraza la Usalama la umoja wa Mataifa''' ni mojawapo ya viungo muhimu vya [[Umoja wa Mataifa]] na lina jukumu la kudumisha amani na usalama ulimwenguni. Nguvu zake, zilizofafanuliwa katika Mkataba wa Umoja wa Mataifa, ni kama vile kuanzisha oparesheni ya kudumisha amani na kuruhusu hatua za kijeshi. Nguvu zake ni wazi kupitia Maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.