Jimbo la Sokoto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d roboti Badiliko: yo:Ìpínlẹ̀ Sókótó; cosmetic changes
Mstari 1:
{| border="1" cellspacing="0" cellpadding="2" width="240" style="margin:1em 1em 1em 0;border:1px #aaa solid;border-collapse:collapse;font-size:95%" align="right"
| align="center" colspan="3" bgcolor="#d3d3d3"|'''Jimbo la Sokoto'''
Jina lingine la Jimbo hili: Seat of Caliphate

! align="center" bgcolor="#efefef" colspan="3"|Mahali

! align="center" colspan="3"|[[FilePicha:NigeriaSokoto.png|200px|Location of Sokoto State nchini Nigeria]]

! align="center" bgcolor="#efefef" colspan="3"|Takwimu

| align="left" valign="top"|'''Gavana'''
(Orodha)
| colspan="2" valign="top"|Aliyu Wamakko (PDP)

Mstari 18:

! align="left" valign="top"|Eneo
| colspan="2" valign="top"|Eneo a eneo kilmota 25,973
liko katika nafasi ya 16

| align="left" valign="top"|'''Idadi ya Watu'''
Sensa ya mwaka wa [[1991]]
[[2005]] est
| align="left" valign="top"| Liko katika nafasi ya 14
4.392.391
4.244.399

| align="left" valign="top"|'''GDP (PPP)'''
-Jumla
-Per capita
| align="left" valign="top"| 2007 (kadirio)
bilioni dola 4.82 <ref name="C-GIDD GDP">{{cite web|url=http://www.cgidd.com|publisher=Canback Dangel|title=C-GIDD (Canback Global Income Distribution Database)|accessdate = 2008-08-20}}</ref>
dola 1.274 <ref name="C-GIDD GDP">{{cite web|url=http://www.cgidd.com|publisher=Canback Dangel|title=C-GIDD (Canback Global Income Distribution Database)|accessdate = 2008-08-20}}</ref>

! align="left" valign="top"|ISO 3166-2
Mstari 31:

'''Jimbo la Sokoto''' (lilianzishwa mwaka wa 1976) ni jimbo katika sehemu ya kaskazini-magharibi mwa [[Nigeria]]. Jimbo hili lilipata jina lake kutoka kwa mji wake mkuu wa Sokoto, mji ambao una historia ya muda mrefu na kiti cha ''Sokoto Caliphate''.

== Historia ==
Tangu uanzishi wake kama jimbo mwaka wa 1976 (kutokana na kugawanywa kwa jimbo la kaskazini-magharibi kuwa majmbo mawili ya Sokoto na Niger, jimbo la Sokoto limetawalwa na magavana na maafisa wengi wa kijeshi wa zamani, kila mmoja wao akipata muda mfupil kutawala.

Sokoto, kama eneo, lina historia ndefu. Wakati wa utawala wa himaya ya Fulani katika karne ya 19, Sokoto lilikuwa jimbo muhimu la [[Fula]] na pia lilikuwa mji mkuu wa sehemu lililokuwa linajulikana kama magharibi ya kati ya [[Sudan]].

Kutoka ca. 1900, wakati Waingereza walianza ukoloni, Sokoto, ambayo ililkuwa inazunguka sehemu nzima ya kona ya kaskazini-magharibi ya Nigeria, ikawa mkoa wa "British protectorate" wa Nigeria. Hii haikuwa muda mrefu baada Gando kuongezwa kama mkoa mdogo wa Sokoto. Mikoa hii miwili kisha ilifunlika eneo a eneo maili elfu 35 (eneo a eneo kilomita elfu 90) na wakazi walikadiriwa kuwa zaidi ya laki 5. Mikoa hii ilijumuisha falme za Zamfara na Argunga, au Kebbi.

Mstari 49:

:''Mkoa umekuwa ukipangwa kwenye kanuni sawa kama za mikoa mingine ya Kaskazini mwa Nigeria. '' ''Mkazi wa Uingereza wa daraja la kwanza amewekwa katika sehemu ya Sokoto na wakazi wasaidizi wamewekwa katika vituo vingine. '' ''Mahakama ya Kiingereza ya haki yameanzishwa na magavana Waingereza wamegawanywa katika robo nne katika mkoa. '' ''Makundi ya polisi wa raia pia wamewekwa katika stesheni kuu. '' ''Nchi imetathminiwa kutumia mfumo mpya wa ushuru na inafunguliwa kwa haraka iwezekanavyo kwa ajili ya uuzaji. '' ''Baada ya uanzilishi wa utawala wa Kiingereza, wakulima na wafugaji waliingia katika wilaya na wenyeji wa miji walikusanyika na kurudi katika ardhi hiyo, kisha walijenga tena vijiji ambavyo vililkuwa vimewachwa kwa muda wa miaka hamsini. '' ''Ufugaji wa farasi na ngombe unafomu chanzo kuu cha mali katika mkoa huu. '' ''Kuna baadhi ya ukulima wa ndege ya aina ya [[Ostrich]]. '' ''Isipokuwa katika maeneo ya mchanga, kuna kilimo kwa upana, kama vile ukulima wa mchele na pamba. '' ''Mazao maalumu yanapandwa katika mabonde kwa njia umwagiliaji. '' ''Ushonaji, uwekaji wa rangi kwa vidude na mchakato wa kubadilisha ngozi kuwa ngozi laini ndizo viwanda kuu. '' ''Barabara nzuri ziko katika mchakato wa ujenzi mkoani. '' ''Uuzaji unaongezeka na fedha taslimu zimeanzishwa.''

:::''Mwaka wa 1906 mchipuko(rising) uliyotokana na mapenzi wa dini ilitokea karibu na Sokoto ambapo kwa bahati mbaya maafisa weupe watatu walipoteza maisha yao. '' ''[[Emir]] alimkana kiongozi wa mchipuko, ambaye alidai kuwa Mahdi aliyechochewa kuwafukuza wazungu nje ya nchi. '' ''Kikosi cha Kiingereza kiliandamana dhidi ya waasi, ambao waliondolewa na kupata hasara kubwa mnamo Machi mwaka wa 1906. '' ''Kiongozi alihukumiwa kifo katika mahakama ya Emir na kunyongwa katika mahali pa soko huko Sokoto, na tukio hilo lilikuwa la kuvutia hasa kuonysha uaminifu kwa utawala wa Kingereza ambao ulichochea pande zote kutoka watawala.''

Mwaka wa 1967, si muda mrefu baada ya Nigeria kupata uhuru kutoka Uingereza, eneo hilo lilijulikana kama jimbo la Northwestern. Mwaka wa 1976, eneo hili liligawanywa katika majimbo mawili ya Sokoto na Niger. Baadaye, jimbo la Kebbi (1991) na jimbo la Zamfara (1996) zilijitoa katika jimbo la Sokoto.

== Idadi ya watu ==

Jimbo la Sokoto lina hasa watu wa [[Kihausa]]. [4] Wakazi wengi wa jimbo la Sokoto ni Waislamu wa Sunni, na wachache wakiwa waislamu wa Shia; ghasia kati ya makundi haya mawili ni ya kawaida.

== Hali ya hewa ==
Jimbo la Sokoto liko katika Sahel kavu, na limezungukwa na [[savannah]] ya mchanga na milima .

Likiwa na wastani wa joto wa nyuzi 28.3, Sokoto ni eneo la joto jingi sana. Hata hivyo, upeo wa joto wa mchana kwa wakati mwingi wa mwaka huwa chini ya digri 40 kwa ujumla na ukavu huu hufanya joto usiwe wa kufurahisha. Miezi ambayo ina joto huanzia Februari hadi Aprili wakati joto wa mchana unaweza kuzidi nyuzi 45. Msimu wa mvua ni kuanzia Juni hadi Oktoba wakati ambao mvua kunyesha ni tukio kila siku. Mvua, nadra hukawia muda mrefu sana na ni tofauti sana na mvua ya kawaida mvua inayojulikana katika maeneno ya kitropiki. Kuanzia mwisho wa Oktoba hadi Februari, wakati wa ''msimu wa baridi'' , hali ya hewa huwa limejaa upepo wa [[Harmattan]] unaovuma vumbi wa [[Sahara]] juu ya ardhi. Vumbi hupunguza mwangaza na hivyo basi hupunguza joto maradufu na kupelekea shida ya vumbi katika kila sehemu ya nymba.

Kupandwa kwa mazao katika eneo hili hutegemea tambarare za mafuriko za mfumo wa mto wa Sokoto-Rima (angalia mto wa Sokoto), ambazo zimefunikwa na udongo tajiri wa aina ya "alluvial". Ukavu wa eneo kwa jumla hurusu mazao chache, labda mtama huwa kwa wingi, pamoja na mchele, mahindi, maharage na nafaka nyinginezo. Mbali na nyanya, mboga chache hukua katika eneo. Kutopatikana kwa aina mbalimbali ya vyakula kumesababisha vyakula chache vilivyopikwa vya mtaa .

== Miji Mikuu na vijiji vya Jimbo la Sokoto ==

Mstari 83:

== Maeneo ya Serikali ya Mtaa ==
Maeneo 23 ya Serikali ya Mtaa ya Sokoto ni:

# Binji
# Bodinga
# Dange Shuni
# Gada
# Goronyo
# Gudu
# Gwadabawa
# Illela
# [[Isa]]
# Kebbe
# [[Kware]]
# Rabah
# Sabon Birni
# Shagari
# Silame
# Sokoto Kaskazini
# Sokoto Kusini
# Tambuwal
# Tangaza
# Tureta
# Wamako
# Wurno
# Yabo

== Marejeo ==
{{reflist}}

Mstari 120:

* Nigeria [map]. Collins Bartholomew Ltd 2005. Published by Spectrum books Ltd
* {{1911}}

== Viungo vya nje ==

* [http://www.sokotostate.gov.ng www.sokotostate.gov.ng] Sokoto State Government Web Site
Mstari 136:

* Majimbo ya Nigeria
* Jimbo la Sokoto
* Majimbo na wilaya zilizoanzishwa mwaka wa 1976

[[ar:سقطو (ولاية)]]
[[de:Sokoto (Bundesstaat)]]

[[en:Sokoto State]]
[[fi:Sokoto (osavaltio)]]
[[fr:État de Sokoto]]
[[ko:소코토 주]]
[[id:Sokoto (negara bagian Nigeria)]]
[[it:Sokoto (stato)]]
[[ja:ソコト州]]
[[ko:소코토 주]]
[[nl:Sokoto (staat)]]
[[ja:ソコト州]]
[[pl:Sokoto (stan)]]
[[pt:Sokoto (estado)]]
[[ro:Statul Sokoto]]
[[fi:Sokoto (osavaltio)]]
[[sv:Sokoto (delstat)]]
[[yo:Ìpínlẹ̀ SokotoSókótó]]
[[zh:索科托州]]