Wikipedia:Babel
sw Mtumiaji huyu lugha mama yake ni Kiswahili.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.
Mtumiaji huyu anatokea Kenya.
Mtumiaji huyu anaishi Nairobi.
Mtumiaji huyu anatumia muda wake mwingi kuhariri Wikipedia.
Mtumiaji huyu ni Mwanachama wa
Wikipedia.
Leo ni tarehe 25 Novemba 2024.
Mtumiaji huyu ana furaha.
:-]
Mtumiaji huyu ni mstaarabu.
Mtumia huyu anapenda masanduku ya watumiaji.
Wiki-N Mtumiaji huyu ni mhariri wa Kiswahili fasaha katika Wikipedia.

Mimi ni Ekisa Mark na nilikuwa mwanafunzi katika chuo kikuu cha Strathmore. Kozi niliyoifanya ni biashara na teknolojia ya habari.