Content deleted Content added
→‎NBN: mjadala mpya
No edit summary
Mstari 125:
 
Yeah, I remember in 1991 O.P.P. was on the radio all the time, just like in 1985 I was living in Manhattan and Run DMC was like the first mega crossover hip hop group in the city, that was when people in the city had boomboxes and rock was still the main item on the music menu. I would say they actually are somewhat awesome. I used to have Naughty by Nature on cassette tape, maybe I will buy it again on cd if I get a chance. Maybe I will go to Youtube now and give it a listen. Cheers. --'''[[Mtumiaji:Mr Accountable|Mr Accountable]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Mr Accountable|majadiliano]])''' 00:40, 6 Machi 2010 (UTC)
 
==Baptisti==
Unavyoona, kadiri ya nafasi yangu ndogo najitahidi kuboresha makala mbalimbali, hasa za dini. Kuhusu hiyo ningeona afadhali kichwa kiwe Wabaptisti, kwa sababu kwa Kiswahili neno Baptisti halitumiki. Ila singependa kusogeza ukurasa baada ya wewe ku-redirect kurasa mbalimbali kuendea Baptisti. --[[Maalum:Michango/196.45.46.171|196.45.46.171]] 09:02, 6 Machi 2010 (UTC)