Nicole Scherzinger : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Viungo vya nje: Jamii:Waigizaji filamu wa Marekani using AWB
Mstari 6:
| Jina la kuzaliwa = Nicole Elikolani Prescovia Valiente
| Pia anajulikana kama = Nicole Kea
| Amezaliwa = {{birth date and age|1978|6|29|df=yes}}<br />[[Honolulu]], [[Hawaii]], [[Marekani]]
| Amekufa =
| Asili yake = [[R&B]], [[muziki wa hip hop|hip hop]], [[muziki wa pop|pop]]
Mstari 19:
}}
'''Nicole Prescovia Elikolani Valiente Scherzinger'''<ref name="NNDB">{{citeweb|url=http://www.nndb.com/people/015/000110682/|title=Nicole Scherzinger}}</ref> (pia anajulikana kama '''Nicole Kea''') (amezaliwa tar. [[29 Juni]], [[1978]]) ni [[mwimbaji]] wa [[R&B]], [[mtunzi wa nyimbo]], [[mnenguaji]], [[mwanamitindo]], na [[mwigizaji]] kutoka nchini [[Marekani]]. Anafahamika zaidi kwa kuwa kama mwimbaji kiongozi wa kundi la muziki la [[The Pussycat Dolls]]. Amechekua jina la Scherzinger kwa sababu alilielewa na baba wa kufikia aliyekuwa Mjerumani.
== Wasifu ==
=== Maisha ya awali ===
Scherzinger alizaliwa mjini [[Honolulu]], [[Hawaii]] na baba [[Ufilipino|Mfilipino]] na mama [[Hawaii|Mhawaii]][[Urusi|/Mrusi]].<ref>{{citeweb|url=http://www.askmen.com/women/singer_300/313_nicole_scherzinger.html|title=Nicole Scherzinger - Askmen.com}}</ref> Mama yake aliitwa Rosemary, na wakati ana mzaa Scherzinger alikuwa na umri wa miaka kumi na minane na wakawa wanaishi mjini inner city, lakini baadaye familia ikatengana wakati Scherzinger bado mdogo.
 
Baadaye familia ikaamia rasmi mjini Louisville, Kentucky wakati huo alikuwa na umri wa miaka sita, akiwa pamoja na ndugu yake wa kike aitwaye Ke'ala aliyezaliwa na baba [[Ujerumani|Mjerumani]] [[Marekani|Mwamerika]] Bw. Gary Scherzinger.<ref>http://www.sindhtoday.net/world/16640.htm</ref><ref name="TheSun">{{cite web|title = Pussycat Dolls Nicole She says she's 'only a 5 out of 10 for looks'|publisher = The Sun|url = http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/features/article1626064.ece|accessdate = 2008-08-30}}</ref>
== Maisha binafsi ==
Kwa sasa Scherzinger anatembea na Lewis Hamilton, kukiwa na fununu za kusema kuwa wawili hao wataoana punde.
== Muziki ==
{{kuu|Albamu na Nyimbo za Nicole Scherzinger}}
:''Tazama pia [[Eden's Crush]] na [[Albamu na Nyimbo za Pussycat Dolls]] kwa taarifa ya albamu na kazi alizofanya akiwa pamoja na hilo kundi.''
 
=== Albamu ===
* 2009: ''[[Her Name Is Nicole]]''
 
=== Single ===
* 2007: "[[Whatever U Like]]" <small>akimshirikisha [[T.I.]]</small>
* 2007: "[[Baby Love]]" <small>akimshirikisha [[will.i.am]]</small>
Mstari 40:
* 2008: "[[:en:Rio (song)#Nicole Scherzinger version|Rio]]" <small>(Caress Brazilian Mix) (Toleo la Mtandaoni Tu)</small>
 
=== Single alizoshirikishwa ===
* 2006: "[[Lie About Us]]" <small> ([[Avant]] akimshirikisha Nicole Scherzinger)</small>
* 2006: "[[Come to Me]]" <small> ([[Sean Combs|Diddy]] akimshirikisha Nicole Scherzinger)</small>
* 2007: "[[Il Mio Miracolo (You Are My Miracle)|You Are My Miracle]]" <small> ([[Vittorio]] akimshirikisha Nicole Scherzinger)</small>
* 2008: "[[Scream (wimbo wa Timbaland)|Scream]]" <small> ([[Timbaland]] akimshirikisha [[Keri Hilson]] na Nicole Scherzinger)</small>
== Marejeo ==
{{marejeo}}
== Viungo vya nje ==
* [http://www.hernameisnicole.com/ Official website]
* {{imdb|0970122}}
* [http://www.bmi.com BMI.com repertoire search]
* {{cite news|last=Errico|first=Mike|url=http://www.blender.com/guide/articles.aspx?ID=2393&src=blender_ed|tite=25 Reasons to Love '07|title=25 Reasons to Love '07|publisher=Blender Magazine Online|date=January/February 2007|accessdate=2006-02-09}}
* [http://www.bastardly.com/archives/2007/09/10/nicole-scherzinger-2007-mtv-video-music-awards?page=0,2 nicole-scherzinger-2007-mtv-video-music-awards]
 
{{The Pussycat Dolls}}
Mstari 59:
 
{{DEFAULTSORT:Scherzinger, Nicole}}
{{commonscat}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1978]]
[[Jamii:Waigizaji filamu wa Marekani]]
[[Jamii:Wanachama wa Pussycat Dolls]]
[[Jamii:Watu Walio Hai]]
 
{{commonscat}}
 
[[ar:نيكول شيرزينغر]]
Mstari 86:
[[ja:ニコール・シャージンガー]]
[[ka:ნიკოლ შერზინგერი]]
[[kn:ನಿಕೋಲ್‌ ಶೆರ್ಜಿಂಜರ್‌]]
[[lt:Nicole Scherzinger]]
[[lv:Nikola Šerzingere]]