Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 53:
 
Nashukuru kaka [[User:Muddyb Blast Producer]] kwa wosia wako.Pia nasshukuru kwa kufuatilia makala yangu.Naomba ukiyakosoa uweze kuniaarifu ili niweze kupata kujibiresha hata zaidi katika nwiki.Nimetafsiri mengine.'''[[Mtumiaji:Limoke oscar|Limoke oscar]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Limoke oscar#top|majadiliano]])''' 08:16, 17 Machi 2010 (UTC)
 
 
:::Ndugu Oscar kwanza kabisa karibu kwetu hata baada ya mashindano nakupongeza wa moyo wako wa kuendelea. Pili umeomba ushauri kuhusu makala ulizoaja hapo juu. Hapo naona kimsingi makala ya Upper Nile ni nzuri nitafirahi ukiendelea kuandika juu ya majimbo mengine ya Sudan pia. Kwa ushauri nina yafuatayo:
:::#Kusoma zaidi kidogo - yaani ukitangulia kusoma kwanza makala ya Sudan utaona majimbo yote ako tayari kwa viungo vya buluu maana mtu aliwahi kuunda makala; nikifungua naona ni mafupi sana sentensi moja tu zilianzishwa na mwenzetu Mr. Accountable ambaye anajua Kiswahili kidogo tu lakini anajitahidi kutusaidia sana. Makala hizi zote zinfaa kupanushwa.
:::#Jina: Kwa kusomasoma kidogo utaona jina la Kiswahili limeanzishwa tayari. "Upper Nile" inaweza kufaa kama kielekezo maana labda hata wasomaji wengine wanatafuta jina la KiingerEza katika wikipedia yetu, kielekezo itawapeleke huko. Napendekeza hatua zifuatazo: A) nakili na kuingiza maandishi ya Upper Nile kwenda "Nile ya Juu" halafu b9 badilisha yaliyomo ya Upper nile kuwa redirect kwenda kule Nile ya Juu.
:::#Kwa jumla tahadhari kidogo juu ya matumizi ya maneno ya Kiingereza. "White Nile" na "Scramble for Africa" zafaa kutafsiriwa. Hata hapa si vibaya kuchungulia katika wikipedia kama makala ziko tayari (Nile Nyeupe iko pekee kwa jimbo la Sudan; inaelezwa ndani ya makala ya mto Nile; mashindano ya wakoloni kugawa Afrika haina makala bado).
:::#wakati wa kutafsiri viungo kujiuliz: Je tunaitaka kweli? Yaani mimi ninsingetafsiri kiungo cha mafuriko ya Sudan 2007 kama nisingependa kuiandika mwenyewe; makalaet za Sudani ni kidogo sijui kama makala ii itakuja?
:::Basi haya ni mawazo machache tu naomba usikate tamaa na endelea!--'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 09:28, 17 Machi 2010 (UTC)