Mplamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza sanduku la uainishaji
Nyongeza picha
Mstari 11:
| oda = [[Rosales]] (Mimea kama mwaridi)
| familia = [[Rosaceae]] (Mimea iliyo na mnasaba na mwaridi)
| nusufamilia = [[PrunoideaeSpiraeoideae]] (Mimea iliyo na mnasaba na [[mplamu]])
| jenasi = ''[[Mplamu|Prunus]]''
| bingwa_wa_jenasi = [[Carolus Linnaeus|L.]]
Mstari 17:
| spishi= nyingi
}}
'''Mplamu''' ni [[mti]] wa [[jenasi]] ya "''[[Prunus]]"'', na [[nusujenasi]] ya ''Prunus''. Nusujenasi hii huutofautisha mplamu na jinasinusujenasi nyingine ndogo ( pichi, cheri n.k. ) kwenye matawi kwa kuwa na chipukizi la mwisho na machipukizi mengine yametengana ( hayapo kama kundi ), maua yamekaa pamoja moja mapaka matano, na tunda likiwa na mfereji mmoja kuanzia juu mpaka chini, na jiwe dogo.
Matunda ya mplamu au [[plamu|maplamu]] yaliyokomaa huwa na utando mweupe ambao huyapa muonekano wa bafaru hivi lakini hutoka kwa urahisi. Hii huwa ni nta, kitaalamu epicuticular wax, na utando huo hujulikana kama “nta ya kuchanua”
 
==Spishi==
Spishi ndogoNusujenasi imegawanywa katika sehemu kuu tatu:
Majani ya kwenye chipukizi yanajikunja kuelekea ndani; maua 1 – 3 yanakaa pamoja,; matunda ni laini, daima huwa na hupata nta ya ukomavu
 
Maua*Majani ndaniya yakwenye chipukizi yanajikunja kwakuelekea ndani; maua 3153 yanakaa pamoja,; matunda ni laini;, daima huwa na hupata nta ya ukomavu.
*Maua ndani ya chipukizi yanajikunja kwa ndani; maua huwa3 na vikonyo5 vifupiyanakaa pamoja; matunda ni laini; kamadaima mahameli.huwa Huchukuliwana kamajinasi ndigo inayojitegemea nahupata baadhinta ya waandishiukomavu.
*Maua ndani ya chipukizi yanajikunja kwa ndani; maua huwa na vikonyo vifupi; matunda laini kama mahameli. Huchukuliwa kamajinasi ndigo inayojitegemea na baadhi ya waandishi.
 
==Kilimo na matumizi==
Mstari 36:
Plamu huwa katika rangi na ukubwa tofauti. Baadhi huwa na nyama ya ndani ngumu kiasi na mengine huwa na nyama laini na yenye rangi ya njano, nyeupe kijani au nyekundu, na ngozi yenye kubadilika vilevile kulingana na rangi ya nyama ya ndani.
==Picha==
<gallery>
File:Plum blossoms.jpg|Maua
File:Fruits Prunus domestica.jpg|Maplamu mtini
File:Starr 070730-7797 Prunus domestica.jpg|Maplamu mekundu
File:Starr 070730-7799 Prunus domestica.jpg|Maplamu zambarau
File:Prunus domestica italica fruits.jpg|Maplamu kijani (Reine Claude)
File:Mirabellen.jpg|Maplamu njano (Mirabelle)
</gallery>
 
{{mbegu-mmea}}