Mimbari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:ChristianFlagEtc CovenantPresbyterianLongBeach20050213 CopyrightKaihsuTai.jpg|right|250px|Mimbari katika kanisa la [[Waprebiteri|Kipresbiteri]] huko [[Chicago]] ([[Marekani]]).]]
[[Picha:Ambone1.JPG|right|250px|Mimbari ya Kikatoliki huko [[Almenno San Salvatore]] ([[Bergamo]], [[Italia]])]]'''Mimbari''' (au "marufaa") ni mahali pa kutengaziakutangazia [[Neno la Mungu]] katika [[maabadi]] ya [[dini]] mbalimbali.
 
Umuhimu wake unatofautiana kadiri ya dini na ya [[madhehebu]] husika. Kwa mfano, upande wa [[Ukristo]], katika [[Uprotestanti]] inashika nafasi ya kwanza ndani ya [[kanisa]], wakati [[Kanisa Katoliki|Ukatoliki]] unapendelea [[altare]] inapotolewa [[sadaka]] ya [[ekaristi]], ingawa unataka sehemu hizo mbili zilingane kwa kuwa ni meza mbili ambapo [[Mungu]] anawalisha wanae kwanza Neno, halafu [[Mwili na Damu ya Kristo]].