Vistula (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|Vistula '''Vistula''' (Kipoland: '''Wisła''' ''tamka: viswa'') ni mto mkubwa nchini Poland mwenye urefu wa 1047 km. Chanzo chake ni katik...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 19:49, 19 Machi 2007

Vistula (Kipoland: Wisła tamka: viswa) ni mto mkubwa nchini Poland mwenye urefu wa 1047 km.

Vistula

Chanzo chake ni katika milima ya Beskidi inaishia katika Bahari Baltiki. Inapita kwenye miji mikubwa ya Krakov na Warshawa.