Nchi za visiwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: en:Island country
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Island nations.png|thumb|right|250px|Nchi za visiwani]]
'''Nchi za visiwa''' ni [[nchi]] zilizopo kabisa kwenye eneo la [[kisiwa]] au visiwa mbalimbali bila kuwa na eneo barani. Kuna nchi 47 za aina hii duniani ambazo ni robo za nchi zote za dunia. Nchi nyingi za aina hii ni ndogo sana. Kuna nchi za aina hii zilizopo kwenye kisiwa kimoja tu kama [[Kupro]]; nyingine zina visiwa vingi kama [[Indonesia]].
 
==Nchi kubwa za visiwani==