Bahari ya Aktiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Polar Bear 2004-11-15.jpg|thumb|250px|Dubu nyeupe huishii katika eno la Aktiki]]
 
'''Bahari ya Aktiki''' (Aktika) ni bahari inayozunkguka [[ncha ya kaskazini]]. Ni shemusehemu ya eneo la [[Aktiki]]. Wataalamu wengine huitazama kama [[bahari]] ya pekee lakini wengine huona ni [[bahari ya pembeni]] ya [[Atlantiki]]. Kina kikubwa kiko karibu na visiwa vya [[Spitzbergen]] chenye mita 5,608.
 
Bahari ya Aktiki iko kati ya pwani za [[Asia]] ya Kaskazini, [[Alaska]] na [[Kanada]] katika [[Amerika ya Kaskazini]], [[Greenland]] na [[Skandinavia]] ([[Ulaya]]). Eneo lake ni 14.056 [[km²]]. Kati ya Greenland na Skandinavia kuna uwazi kubwa unaojifungua kwa Atlantiki ya Kaskazini na [[mlango wa Bering]] unaunganisha bahari hii na [[Pasifiki]].