Reli ya Kenya-Uganda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sv:Ugandiska järnvägen
kiungo
Mstari 23:
 
===Wafanyakazi kutoka Bara Hindi===
Waingereza waliamua kuchukua wafanyakazi kutoka [[Bara Hindi]] kwa sababu katika majaribio ya kwanza Waingereza hawakuelewana na wenyeji wa pwani ambao waliajiria awali. Kwa ujumla zaidi ya [[Wahindi]] 13,000 walichukuliwa kufanya kazi ya reli. Kwa jumla walitoka hasa katika mikoa ya [[Gujarat]] na [[Panjab]], na lugha hizi zinatumika hadileo katika Afrika ya Mashariki. Wengi walikuwa wafanyakazi wa mkono,lakini wengine pia mafundi na makarani. Wengi walikufa kwa sababu ya ugumu wa kazi, magonjwa, ajali na wanyama witu kama vile [[simba]] wawalioitwa [[wala-watu wa Tsavo]] walioua wafanyakazi 135.
 
===Mwanzo wa Nairobi===