Fueli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
tahajia
Mstari 11:
Baadaye watu waliona faida ya [[makaa mawe]] wakaanza kuichimba na kuchoma. Tangu karne ya 20 matumizi ya madawa kutokana na [[petroliamu]] yalisambaa kabisa kama vile [[petroli]], [[diseli]] na [[mafuta ya taa]].
 
Mara nyingi nishati ya fueli hutumiwa moja kwa moja kwa mfano kwa njia ya kuweka sufuria juu ya kuni, makaa au gesi inayowaka. Teknolojia ya [[umememeumeme]] inawezesha watu kubadilisha nishati ndani ya fueli katika umbo tofauti ya nishati inayoweza kupelekwa kote kupitia nyaya za umeme. Asili ya umeme mara nyingi ni kuchomwa kwa fueli pia; kwa mfano katika vituo vya umeme mafuta ya petroli, dieseli au makaa mawe huchomwa kusudi la kuchemsha maji na mvuke wa maji unazungusha [[rafadha]] inayoteneneza umeme.