Natiri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: nv:Soodin
No edit summary
Mstari 18:
}}
 
'''Natiri''' (pia: '''sodiamu''') ni [[elementi]] na [[metali alikali]] yenye [[namba atomia]] '''11''' kwenye [[mfumo radidia]] na [[uzani atomia]] 22.98976928. Alama yake ni '''Na'''. Jina latokana na [[chumvi]] asilia ya natroni alimotambuliwa. Natiri inapatikana duniani ndani ya chumvi cha kawaida cha NaCl (kloridi ya natiri) kinachopatikana kwa wingi katika maji ya [[bahari]].
 
Kiini cha atomi chake kina nyutroni 11. Kuna isotopi moja tu ya kudumi ni <sup>23</sup>Na. Peke yake ni metali laini nyeupe inayotunzwa katika mafuta kwa sababu inameyuka haraka.