Athi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Athi''' ni jina la mto katika [[Kenya]], [[Afrika]]. Sehemu za mto hujulikana pia kwa majina ya '''Galana''' na '''Sabaki''', kwa hiyo mto wote huitwa pia '''Athi-Galana-Sabaki'''.
 
Ina urefu wa kilomita 390 , na [[beseni]] yenye eneo la 70,000 km ².
Mto wa Athi umeupatia jina lake kwa mji wa [[Athi River]] karibu na Nairobi pia kwa kampuni ya [[Athi River Mining]].
 
Mto wa Athi umeupatia jina lake kwa mji wa [[Athi River]] karibu na [[Nairobi]] pia kwa kampuni ya [[Athi River Mining]].
Athi inaanza karibu na Nairobi ikielekea [[Bahari Hindi]]. Inapita Mbuga wa Wanyama wa [[Tsavo]] Mashariki pia tambarare ya juu ya [[Yatta]] ilipotafuta njia yake kuvuka eneo kubwa la mawe ya kivolkano.
 
Athi inaanza karibu na Nairobi ikielekea [[Bahari Hindi]]. Inapita [[Mbuga waya WanyamaKitaifa waya [[Tsavo]] Mashariki]] pia tambarare ya juu ya [[Yatta]] ilipotafuta njia yake kuvukakuvukia eneo kubwa la mawe ya kivolkano.
Baada ya maporomoka ya [[Lugard]]s Falls inapokea [[mto Tsavo]] ikibadilika jina lake. Mto unaitwa kuanzia hapa kwa jina la Galana. Kabla ya kufika katika Bara Hindi karibu na [[Malindi]] upande wa kaskazini jina limebadilika tena kuwa Sabaki.
 
Baada ya maporomokamaporomoko ya [[Lugard]]s Falls inapokea [[mto Tsavo]] ikibadilika jina lake. Mto unaitwa kuanzia hapa kwa jina la Galana. Kabla ya kufika katika [[Bara Hindi]] karibu na [[Malindi]] upande wa kaskazini jina limebadilikalinabadilika tena kuwa Sabaki.
 
[[Category:Mito ya Kenya]]