Familia (biolojia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
Mstari 3:
'''Familia''' ni ngazi katika [[uainishaji wa kisayansi]] wa [[viumbehai]]. Familia ya wanyama au mimea hujumlisha [[spishi]] mbalimbali zilizo karibu.
 
Kwa mfano [[paka-kaya]] wa kawaida ni spishi mojawapo pamoja na spishi 41 nyingine ndani ya familia ya [[felidaeFelidae]] inayojumlisha paka pamoja na [[chui]], [[simba]], [[tiger]] n.k.
 
Ndani ya familia kuna [[jenasi]] mbalimbali (zinazojumlisha spishi za karibu zaidi); kila familia ni sehemu ya ngazi ya juu zaidi inayoitwa [[oda]]. Familia ya felidaeFelidae (wanyama wanaofana na paka) ni sehemu ya oda ya [[carnivoraCarnivora]] au wanyama wala nyama.
 
Kwa kawaida majina ya kisayansi ya kila familia huishia kwa
Mstari 13:
 
 
Familia kubwa sana zinaweza kugawiwa katika familia ndogo[[nusufamilia]]; vilevile oda kubwa sana inaweza kuwa na familia kubwa za kujumlisha ngazi ya familia.
 
[[Jamii:Uainishaji]]