Jeshi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nimebadilisha interwikim kwenda military; jeshi ni zaidi military kuliko army
nyongeza
Mstari 1:
'''Jeshi''' ni jumla ya watu wanaopewa mamlaka ya kutumia nguvu ya silaha kutetea nchi kwa niaba ya dola au kutekeleza maagizo ya serikali dhidi ya maadui wa nje kwa nguvu ya silaha.
'''Jeshi''' jina ya [[Lugha ya Kiswahili|Kiswahili]] (Kifaransa ''armée'') pia na Kiswahili ni [[Shurutisho ya Jeshi]]. Latumika hasa kwa [[Jeshi la ardhi]], [[Jeshi la majini]] (au ''Jeshi la wanamaji'') ama pia [[Jeshi la Anga]]. Lakini jina la "Jeshi" pekee sana latumika kufafanua Jeshi la ardhi.
 
PiaNeno latumika hasa kunakwa kutaja ''[[Jeshijeshi la Taifaardhi]]'', hasa [[uudajijeshi wa tabaka yala kijeshimajini]] ambayo(au inahusu''Jeshi la wanamaji'') na [[Kundijeshi yala jeshianga]] kadhaa.
 
==Kazi ya jeshi==
Kuna Jeshi aina nyingi, Jeshi ambao ni makereketwa kwa watu wengine, au Jeshi kama za dini hasa k.m. [[Jeshi la wokofu]].
Kazi ya jeshi ni
*kulinda nchi dhidi ya maadui wa nje
*kutetea nchi dhidi ya mashambulizi kutoka nje au
* pia kushambulia nchi nyingine kama hatua hii imeamriwa na serikali halali.
 
Kusudi hili shidi ya hatari na nje ni tofauti kuu na kazi ya [[polisi]] ambayo ni mkono mwingine wa serikali ya taifa mwenye silaha. hata hivyo kuna nchi ambako tofauti kati ya jeshi na polisi si wazi vile hasa kuna nchi nyingi ambako jeshi limepewa wajibu wa ndani ya taifa au ambako wanajeshi walichukua mamlaka mkononi mwao kwa nguvu ya silaha zao.
 
Katika nchi mbalimbali kuna vikosi vinavyotekeleza shughuli ndani ya taifa lakini vina silaha sawa na sehemu za jeshi na wakati mwingine vinahesabiwa kama sehemu ya jeshi. Kwa mfano vikosi vinavyolingana na FFU ya Tanzania vinaitwa [[gendarmerie]] huko [[Ufaransa]] na nchi nyingi za [[Afrika Magharibi]] au [[carabinieri]] huko [[Italia]] na kule vinahesabiwa kama mkono wa jeshi ingawa kazi yao ni ya ndani ya nchi.
 
Hali ya jeshi vitani husimamiwa na [[sheria ya kimataifa ya vita]] jinsi ilivyoundwa katika mikataba mbalimbali ya kimataifa. Sheria hii inalenga kulinda watu raia wakati wa vita na pia haki za wanajeshi wakikamatwa na adui. Sheria inadai ya kwamba wanajeshi wote wanahitaji
* kuwa na sare rasmi inayoonekana na kuwatofautisha na watu raia
* kuwa chini ya mamlaka rasmi inayoeleweka na kuwajibika kwa serikali yao
* kubeba silaha zao wazi
* kuitikia masharti ya sheria ya kimataifa
 
Wanajeshi wanafuata utaratibu huu wanalindwa na sheria inayokataza pia watu raia kubeba na kutumia silaha na kushiriki katika mapigano. Katika vita nyingi sheria ilipuuzwa lakini kuna mifano kadhaa katika karne ya 20 ambako [[jinai za vitani]] zilifuatiliwa kwa mfano kwenye [[Kesi za Nuremberg]] kuhusu jinai za vitani upande wa [[Ujerumani]] na kesi zilizofikishwa mbele ya [[Mahakama ya Kimataifa ya Jinai]] tangu mwaka 2000.
 
==Jeshi la ardhi==