Sikio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|300px|Muundo wa sikio thumb|200px|Picha ya sikio la nje '''Masikio''' ni sehemu za mwili zinazotuwezesha kus...'
 
No edit summary
Mstari 6:
Sikio ya kibinadamu huwa na sehemu ya nje na sehemu ya ndani iliyopo ndani ya [[fuvu]].
 
Sehemu ya nje ina kazi ya kupokea na kukusanya [[mawimbi ya sauti]] na kuielekeza ipatekuyaelekeza kuingia ndani ya njia ya sikio inayoishia kwenye kiwambo cha sikio ambacho ni ngozi inayotikisishwa na sauti.
 
Kucheza kwa kiwambo kunasikitisha mifupa mitatu midogo inayoungwa nacho na mwendo wa mifupa midogo unapokelewa na mishipa fahamu ya sikio la ndani ukibadilishwa kwa mishtuko ya umeme inayopita kwenye neva hadi ubongo.