Kikuyu (lugha) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'ndi mugikuyu ugwika atia mia kana uharwo ndikuma guku'
 
No edit summary
Mstari 1:
{{Infobox Language
ndi mugikuyu ugwika atia mia kana uharwo ndikuma guku
|name=Gikuyu, Kikikuyu
|nativename=Gĩkũyũ
|nchi= [[Kenya]]
|region=[[Central Province, Kenya|Central Province]]
|wazungumzaji=takriban 5,500,000 (1994 I. Larsen BTL)<ref>http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=kik Accessed 2007/07/09</ref>.
|iso1=ki
|iso2=kik
|iso3=kik
|familycolor=Niger-Congo
|fam1=[[Lugha za Niger-Kongo]]
|fam2=[[Lugha za Atlantiki-Kongo]]
|fam3=[[Lugha za Benue-Kongo]]
|fam4=[[Bantoid languages|Bantoid]]
|fam5=[[Southern Bantoid languages|Southern]]
|fam6=[[Lugha za Kibantu|Kibantu]]
|fam7=[[Kibantu cha Kaskazini-Mashariki]]
|fam8=Kikuyu-Kamba
|rank=97
}}
 
'''Kikikuyu''' (jina la wenyewe: '''Gĩkũyũ''') ni lugha ya [[Kibantu]] inayojadiliwa na watu mulioni 5.5 nchini [[Kenya]] ni lugha yenye wasemaji wengi katika nchi hii.
Kama lugha ya Kibantu ni sehemu ya lugha za Niger-Kongo.
 
Wasemaji wanaishi kiasili kwenye nyanda za juu za Kenya ya Kati kati ya [[Nyeri]] na [[Nairobi]]. Siku hizi wanapatikana kote Kenya. Lugha ina vikundi vinne vya [[lahaja]] ambazo ni za Kirinyaga, Muran'ga, Nyeri na Kiambu.
 
Gikuyu inafanana kwa kiasi kikubwa na [[Kiembu]], Kimeru na [[Kikamba]].
 
==Fasihi na media==
Tangu zamani za koloni Gikuyu imewahi kuandikwa. Vitabu vya kwanza kwa Gikuyu vilikuwa [[Biblia]] na vitabu vya ibada. Tangu uhuru waandishi mbalimbali walianza kuandika. Anayejulikana zaidi ni [[Ngugi wa Thiong'o]] na kati ya riwaya zake iko "Mũrogi wa Kagogo". Waandishi wengine ni [[Mwangi wa Mutahi]] na [[Gatua wa Mbugwa]].
 
Mjini Nairobi kuna pia [[redio]] ya Gikuyu na pia vipindi vya TV.
 
== Viungo vya Nje ==
{{wikipedia|ki|Kikuyu}}
* [http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=kik Ethnologue entry]
* [http://www.language-museum.com/encyclopedia/g/gikuyu.php Gĩkũyũ in the Language Museum]
* [http://lang.nalrc.wisc.edu/nalrc/resources/press/brochures/kikuyu.pdf lang.nalrc.wisc.edu] (PDF 561 kB)
 
[[Category:Lugha za Kenya]]
[[Category:Lugha za Kibantu]]
 
[[bn:গিকুয়ু ভাষা]]
[[br:Gikouyoueg]]
[[en:Gikuyu language]]
[[eo:Kuja lingvo]]
[[es:Idioma kikuyu]]
[[fr:Kikuyu (langue)]]
[[is:Kíkújú]]
[[ja:キクユ語]]
[[ki:Gĩgĩkũyũ]]
[[ksh:Gėkooijo (Shprooch)]]
[[nl:Gikuyu (taal)]]
[[no:Kikuyu (språk)]]
[[nov:Gikuyum]]
[[pl:Język kikuju]]
[[pt:Língua kikuyu]]
[[qu:Kikuyu simi]]
[[ru:Кикуйю (язык)]]
[[sk:Kikujčina]]
[[sv:Kikuyu (språk)]]
[[uk:Кікуйю (мова)]]