Digamma : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
[[Picha:GreekDigamma-01.png|right]]
'''
▲'''Wau''' (Digamma) ([[kigiriki]] '''ϝαῦ''' (δίγαμμα) ikaandikwa kama Ϝ au ϝ) ilikuwa kiasili herufi ya sita ya [[alfabeti ya Kigiriki]]. Sauti yake ilikuwa kama V au F. Asili yake ilikuwa Waw ya [[Kifinisia]].
Baadaye ilifutwa katika alfabeti ya Kigiriki kwa sababu lugha ilipoteza sauti hiyo. Alama ilitumiwa kwa namba 6 pekee.
|