Pai (herufi) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 83.11.121.223 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kaiserreich
Tengua pitio 428517 lililoandikwa na Kaiserreich (Majadiliano)
Mstari 1:
{{Template:Alfabeti ya Kigiriki kamili|herufi=Pi uc lc}}
'''Pi''' ni herufi ya kumi na sita [[Alfabeti ya Kigiriki]]. Inaandikwa kama '''Π''' (herufi kubwa cha mwanzo) au '''π''' (herufi ndogo ya kawaida). Pi ni asili ya herufi ya [[P]] katika [[alfabeti ya Kilatini]].
 
Katika [[Ugiriki ya Kale]] ilihesabiwa pia kama namba "80".
 
== Namba ya duara ==
Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za kigiriki inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika [[hesabu]] na [[fisikia]]. Imejulikana hasa kama namba ya [[duara]] kwa thamani ya 3.1415926535897932384626433832795028841....
Line 6 ⟶ 11:
Wanahisabati duniani husheherekea [[sikukuu ya Pi]] tarehe [[14 Machi]] au pia [[22 Julai]].
 
[[Jamii:Mwandiko]]
[[Jamii:Namba]]
[[Jamii:Alfabeti ya Kigiriki]]
 
{{Link FA|af}}