Mageuko ya spishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
tahajia
Mstari 1:
'''Mageuko ya spishi''' ni [[nadharia]] ya ki[[sayansi]] iliyobuniwa na kutumiwa na wataalamu wa [[biolojia]]. Inasema ya kwamba [[spishi]] za [[viumbehai]] zilizopo duniani leo zimetokana na spishi zilizokuwa tofauti za zamani. Nadharia hii inategemea ya kwamba awali maisha yote yametokana na maiumbomaumbo asilia. Katika wazo hili spishi zote jinsi zilivyo sasa zinaendelea kubadilika.
 
Msingi wa nadharia hii ni mabaki ya [[kisukuku]] ya viumbehai ambao hawapo tena duniani lakini wanaofanana kiasi na viumbehai wa leo, pamoja na ulinganifu wa spishi za karibu na mbali zaidi. Nadharia ya mageuko ya spishi inalenga kueleza mabadiliko haya.