Waaugustino : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Waaugustino''' ni hasa watawa wanaofuata kanuni ya Agostino wa Hippo. Kwa Kilatini shirika lao linaitwa ''Ordo Fratrum Sancti Augustini''....'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Waaugustino''' ni hasa [[utawa|watawa]] wanaofuata [[kanuni]] ya [[Agostino wa Hippo]]. Kwa [[Kilatini]] shirika lao linaitwa ''Ordo Fratrum Sancti Augustini''. Tangu muda mrefu linahesabiwa kati ya [[mashirika ya ombaomba]].
 
==Historia==
 
Katika [[karne XII]] zilikuwepo jumuia nyingi zilizofuata kanuni hiyo. Katikati ya [[karne XIII]], kwa juhudi za [[kardinali]] [[Riccardo Annibaldi]], ulianza mchakato wa kuziunganisha.
Line 7 ⟶ 9:
Baadhi ya Waaugustino katika karne zilizofuata walifanya juhudi za [[urekebisho]] na kuanzisha matawi mapya.
 
==Takwimu==
Tarehe [[31 Desemba]] [[2005]], mbali na matawi hayo yaliyojitegemea, shirika lilikuwepo katika mabara yote likiwa na [[konventi]] 448 na watawa 2.803, ambao 2.088 kati yao walikuwa ma[[padri]].<ref>Takwimu kutoka<nowiki>'</nowiki>''Annuario Pontificio per l'anno 2007'', [[Città del Vaticano]], [[2007]], uk. 1466.</ref>
 
Kati ya nchi 24 ambako shirika linaishi, kuna [[Kenya]] na [[Tanzania]].
 
==Tanbihi==