Utenzi wa Gilgamesh : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
viungo
viungo
Mstari 15:
 
===Enkidu anachukuliwa Uruk===
Enkidu anaishi porini pamoja na wanyama witu anajisikia ni mmoja wao ana nywele nyingi kama mnyama.
Mwindaji mmoja anatambua ya kwamba wanyama hawingii tena katika mitego yake kwa sababu wanalindwa na Enkidu. Anaenda Uruk na kulalamika mbele ya mfalme. Gilgamesh anamwambia kurudi pamoja na kahaba Shamhat; huyu Shamhat atamvuta kwa njia ya ngono kutoka upande wa kinyama kuja upande wa kibinadamu. Na kweli Enkidu anavutwa na Shamhat anafanya mapenzi naye kwa wiki moja. Katika muda huu wanyama pori wa Enkidu wanaondoka na kupotea. Enkidu anajikuta bila wanyama anaamua kumfuata Shamhat kwenda Uruk.
[[File:Enkidu leon.jpg|thumb|200px|Enkidu apigana na simba; picha kwenye mhuri wa Kimesopotamia]]