Chama cha Kikristo cha Kidemokrasia cha Ujerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
|ushirikiano kwa ulaya = [[European People's Party - European Democrats]]
|rangi = Black, Orange
|makao makuu = Klingelhöferstraße 8<br />10785 [[Berlin]]
|tovuti = [http://www.cdu.de www.cdu.de]
}}
Mstari 19:
Mnamo mwezi [[Novemba]] katika mwaka wa [[2005]] Bi. [[Angela Merkel]] amepata kuwa [[Chansela]] wa [[Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani]] kwa kupitia kiti cha chama cha CDU.
 
== Chama na dini ==
Kihistoria CDU ilianzishwa kama maungano ya mikondo ya kikatoliki na kiprotestanti ya sisasa ya Kijerumani baada ya [[vita kuu ya pili ya dunia]]. Kabla ya utawala wa [[Adolf Hitler]] mikondo hii iliendelea kandokando hadi 1933; chama cha Zentrum ilikuwa chama cha kikatoliki na vyama vya kiprotestanti vilijipasua hadi kupotea. Baada ya vita ilikua nia ya wanasiasa Wakristo kuungana kwa sauti moja hivyo waliunda CDU. Kwa miaka mingi uwiano kati ya wanasiasa wakatoliki na waprotestanti ilikuwa jambo muhimu ndani ya chama.
 
Mstari 31:
[[ar:الاتحاد الديمقراطي المسيحي]]
[[be:Хрысціянска-дэмакратычны саюз Германіі]]
[[bg:Християн-демократическиХристияндемократически съюз]]
[[br:Christlich Demokratische Union Deutschlands]]
[[bs:Kršćansko-demokratska unija]]