Kuku-mwamba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
dNo edit summary
Mstari 17:
''[[Picathartes oreas|P. oreas]]'' <small>[[Anton Reichenow|Reichenow]], 1899</small>
}}
'''Kuku-mwamba''' ni [[ndege (mnyama)|ndege]] wakubwa kiasi wa [[jenasi]] ''[[Picathartes]]'', jenasi pekee ya [[familia (biolojia)|familia]] [[Picathartidae]]. Wanatokea [[msitu|misitu]] ya [[Afrika]] chini ya [[Sahara]]. Kuku-mwamba wana domo kubwa kama lile la [[kunguru]] na kichwa bila manyoya chenye rangi kali (nyeusi na njano au nyekundu). Pia wana rangi ya nyeusi au kijivucheusi juu na nyeupe chini. Shingo yao ni nyeupe au ina rangi ya kijivu. Hula [[mdudu|wadudu]], kama [[bungo]], [[mchwa]] na [[sisimizi]], pia [[jongoo]], [[tandu]], [[nungunungunyungunyungu]], [[konokono]] na hata [[chura|vyura]] na [[mjusi|mijusi]]. Hulijenga tago lao kwa matope chini ya mwamba. Jike huyataga [[yai|mayai]] mawili.
 
==Spishi==