Australasia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
Hasa [[Australia]], [[New Zealand]], [[Guinea Mpya]] na visiwa jirani vya [[Melanesia]] huhesabiwa humo. Wakati mwingine sehemu ya visiwa vya Indonesia vyahesabiwa humo pia.
 
Katika matumizi ya neno "Australasia" maeneo yake hungiliana na yale yanayotajwa kwa "Melanseia" na "Asia ya Kusini".
 
Neno lilitungwa na mtaalamu Mfaransa wa jiografia Charles de Brosses mwaka 1756 alipotaka kutofautisha eneo hili na [[Polynesia]] na Pasifiki ya Kusini-mashariki.