Ethanoli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
== Ethanoli kama fueli ==
 
Ethanoli ina pia matumzi ya [[fueli]] badala ya [[petroli]]. Inawaka ndani ya injini ama peke yake au ndani ya mchanganyiko wa petroli na ethanoli.
 
Nchini [[Brazil]] ethanoli hutengenezwa kwa wingi kutokana na miwa na sasa inatosheleza asilimia 18 ya mahitaji ya fueli ya magari katika nchi hii.