Siberia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: pnb:سائبیریا
CGN2010 (majadiliano | michango)
d →‎Maana ya Siberia: clean up using AWB
Mstari 8:
* Kisiasa ni sehemu tu ya eneo hili (tazama ramani). Kwa maana hii Siberia ni jimbo la shirikisho la Urusi. Kisiasa [[Ural (jimbo)|Ural]] na [[Mashariki ya Mbali (jimbo)|Mashariki ya Mbali]] ni majimbo ya pekee.
 
Mipaka ya Siberia ya kijiografia ni safu ya [[milima ya Ural]] upande wa magharibi, [[bahari ya Aktika]] kwa kaskazini, [[Pasifiki]] katika Mashariki na nchi za [[Kazakhstan]], [[Mongolia]] na [[Uchina]] upande wa kusini. Siberia ni zaidi ya nusu la eneo la Urusi wote. Eneo lote ni [[kilomita za mraba]] milioni 9.6 ambayo ni karibu sawa na Ulaya yote (milioni 10.6  km²).
 
== Wakazi ==