Pemba (kisiwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
sahihisho la lugha
lugha na mpangilio
Mstari 1:
[[Image:Pemba Island (Tanzania).jpg|thumb|Ramani ya Kisiwa cha Pemba]]
[[Image:Visiwa vya Zanzibar.JPG|thumb|left|Visiwa vya Zanzibar (Unguja na Pemba)]]
 
:''Makala hii inahusu Kisiwa cha Pemba. Jina linatumika pia kwa ajili ya [[Pemba (Msumbiji)|Pemba]] katika [[Msumbiji]] na [[Pemba (Zambia)|Pemba]] wilaya pamoja na mji huko [[Zambia]].''
 
'''Pemba''' ni kisiwa kilichopo takriban 50 km kaskazini ya [[Unguja]] katika [[Bahari Hindi]]. Visiwa vyote viwili mbili ni sehemu za [[Jamhuri ya Watu wa Zanzibar]] katika [[Tanzania]]. Umbali na [[Tanganyika]] au Tanzania bara ni 50 km.
 
Pemba pamoja na visiwa vidogo karibu nayo ina wakazi 360,797 katika eneo la 980 km².
Pemba kuna miwili ya mikoa 26 za Tanzania.
 
Miji muhimu waya Pemba ndiyo [[Chake Chake]], [[Mkoani]] na [[Wete]].
 
Uchumi wa Pemba ni hasa kilimo pamoja na uvuvi. Mazao ya sokoni hulimwa hasa [[karafuu]].
 
Katika utamaduni wa Pemba kuna desturi ya kipekee katika Afrika ndiyo [[mchezo wa ng'ombe]] iliyorithiwa na Wareno walipokuwa na atahriathari kisiwani karne zilizopita.
 
==ViuongoViungo vya nje==
*{{en}}[http://www.zanzinet.org/zanzibar/pemba/pemba.html zanzinet.org]
*{{en}}[http://www.nbs.go.tz/stzanzibar.htm Takwimu ya Zanzibar]
Line 19 ⟶ 21:
{{Mikoa ya Tanzania}}
 
{{DEFAULTSORT:Pemba}}
[[Category:Visiwa vya Bahari ya Hindi]]
[[Category:Visiwa vya Tanzania]]
[[Category:Zanzibar]]
[[Category:Pemba|*]]
[[Category:Visiwa vya Afrika]]
[[Category:Waswahili]]