Kituruki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: yo:Èdè Túrkì
CGN2010 (majadiliano | michango)
d Unicodifying, replaced: CyprusKupro using AWB
Mstari 2:
'''Kituruki''' (Türkçe) ni lugha rasmi nchini [[Uturuki]]. Ni lugha yenye wasemaji milioni 80. Hivyo ni lugha yenye wasemaji wengi kati ya [[Lugha za Kiturki]] zinazozungumzwa na watu milioni 170 katika [[Asia ya Magharibi]] na [[Asia ya Kati]].
 
Kuna wasemaji nchini Uturuki, kwenye kisiwa cha [[CyprusKupro]], [[Bulgaria]], [[Ugiriki]], [[Masedonia]] na katika nchi kadhaa zilizokuwa sehemu za Dola la Uturuki. Kutokana na uhamiaji wa Waturuki kuna pia wasemaji mamilioni katika nchi za [[Umoja wa Ulaya]].
 
Wasemaji wa kituruki huelewana kwa kiasi kikubwa na wasemaji wa [[Kiazerbaijan]], [[Kiturkmen]] na [[Kiqashgai]].
Mstari 11:
 
{{DEFAULTSORT:Turuki}}
 
[[Jamii:Uturuki|Kituruki]]
[[Jamii:Lugha za Kiturki]]
Line 17 ⟶ 16:
{{Link FA|en}}
{{Link FA|sv}}
 
[[ace:Bahsa Tureuki]]
[[af:Turks]]