Thabo Mbeki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:ThaboMbeki.jpg|thumb|right|Thabo Mbeki]]
 
'''Thabo Mvuyelwa Mbeki''' (amezaliwa [[18 Juni]], [[1942]]) ni [[Rais]] wa nchi ya [[Afrika Kusini]] tangu [[14 Juni]], [[1999]]. Alimfuata [[Nelson Mandela]].
 
Mbeki alilelewa katika familia ya [[Waxhosa]] katika jimbo la [[Rasi Mashariki]]. Wazazi walikuwa walimu wa shule na wanachama wa [[ANC]].