Nembo ya Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
mpangilio mpya
Mstari 1:
[[Image:Coat of arms of tanzania.svg|thumb|right|200|Nembo ya Tanzania]]
'''Nembo ya Tanzania''' huonyeshani ngao ya askari iliyogawanyiwainayoshikwa katikana sehemuwatu nne:wawili.
*Sehemu ya kwanza yenye rangi ya manjano inatukumbusha utajiri wa madini ya [[Tanzania]]. Sehemu hii pia huonyesha Mwenge wa Uhuru unaowaka na kumaanisha [[Uhuru]] na [[Elimu]].
*Sehemu ya pili huonyesha [[Bendera ya Tanzania]].
*Sehemu ya tatu yenye rangi ya nyekundu humaanisha ardhi nzuri ya Tanzania. Sehemu hii pia huonyesha jembe, kifaa cha kulimia na kujengea taifa.
*Sehemu ya mwisho ni ya rangi ya buluu na nyeupe. Sehemu hii humaanisha maji, maziwa na bahari.
 
Ngao ina sehemu nne: juu sehemu ya dhahabu, chini yake bendera ya taifa, halafu sehemu nyekundu na chini kabisa sehemu ya buluu-nyeupe
Ngao husimama juu ya [[Mlima Kilimanjaro]]. Ndovu za tembo zimeshikwa na mvulana na msichana. Majani ya [[karafuu]] yapo karibu na miguu ya msichana na majani ya [[pamba]] karibu na miguu ya mvulana.
 
a) robo ya juu inaonyesha mwenge wa uhuru juu ya rangi ya dhahabu inayokumbusha juu ya utajiri wa madini ya taifa
 
*Sehemub) robo ya pili huonyeshani [[Benderabendera ya Tanzania]].
 
c) rangi nyekundu inamaanisha ardhi nyekundu ya Afrika na kilimo kama msingi wa maisha ya watu.
 
d) Milia ya buluu na nyeupe katika robo ya nne inamaanisha mawimbi ya bahari na maziwa kwenye mipaka ya nchi pamoja na bahari inayozunguka Zanzibar kama sehemu ya Jamhuri ya Maungano.
 
Juu ya sehemu hizi kuna mkuki na majembe mawili yanayokumbusha juu ya utetezi wa uhuru na umuhimu wa kazi katika ujenzi wa taifa.
 
Ngao yote imeviringishwa na mapembe ya [[ndovu]] yanayomaanisha utajiri wa wanyamapori na hifadhi za taifa.
 
Ngao inalala juu ya [[mlima Kilimanjaro]] ambayo ni mlima mkubwa wa Tanzania.
 
Watu wawili wanaoshika ni mwanamume na mwanamke kama dalili ya ushirikiano wa jinsia zote mbili taifani. Wanasimama juu ya mpamba na mkarafuu ambayo yote inazaa mazao muhimu ya kibiashara ya Tanzania Bara kwa pamba na [[Zanzibar]] kwa karafuu.
 
Kanda njano ya maandishi chini ya ngao huonyesha wito la taifa "Uhuru na Umoja"
 
==Viungo vya Nje==