Kaaba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
sahihisho dogo
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Kabaa.jpg|right|thumb|The Kaaba ikizungukwa na waumini.]]
'''Kaaba''' ni jengo lenye umbo la [[mchemraba]] lililopo ndani ya [[msikiti]] mkuu wa Masjid al-Haram mjini [[Makka]] nchini [[Saudia]]. Ni lengo la safari ya [[hajj]]. Waislamu huamini ni nyumba y Mungu iliyojengwa kiasili na [[Adamu]] na baadaye na [[Abrahamu]].
 
Inatazamwa kama mahali [[patakatifu]] katika [[imani]] ya [[Uislamu]].
Inatazamiwa kama mahali patakatifu katika imani ya [[Uislamu]]. Kila mwislamu mwenye uwezo anatiwa kuitembelea angalau mara moja katika maisha yake. Waislamu wanatakiwa kutazama kuelekea Kaaba wakati wa kusali na msikiti huwa na sehemu ya [[mihrabu]] inayotazama Makka. Mwelekeo huu huitwa [[kibla]].
Waislamu huamini ni nyumba ya [[Mungu]] iliyojengwa kiasili na [[Adamu]] na baadaye na [[Abrahamu]].
 
Ni lengo la safari ya [[hija]]. Kila Mwislamu mwenye uwezo anatakiwa kuitembelea angalau mara moja katika maisha yake.
 
Inatazamiwa kama mahali patakatifu katika imani ya [[Uislamu]]. Kila mwislamu mwenye uwezo anatiwa kuitembelea angalau mara moja katika maisha yake. Waislamu wanatakiwa kutazama kuelekeakuielekea Kaaba wakati wa [[sala|kusali]] na kila msikiti huwa na sehemu ya [[mihrabu]] inayotazama Makka. Mwelekeo huu huitwa [[kibla]].
 
{{commons}}
Line 10 ⟶ 14:
 
[[Category:Msikiti]]
[[Jamii:Uislamu]]
 
[[af:Kaäba]]