Umma wa Wapanda Baiskeli Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d ainisha {{mbegu}} using AWB
Mstari 5:
Malengo ya Umma ni kama yafuatavyo:
 
* Kuhamasisha watu wa Dar es Salaam kutumia baisikeli
* Kuhamasisha wanawake kupanda baisikeli
* Kufanya utafiti kupata taarifa kuhusu wapanda baisikeli na maoni yao
* Kushirikiana na serikali na kuhamasisha na kuwashauri kuweka huduma kwa wapanda baisikeli na kuweka mazingira mazuri na salama kwa wapanda baiskeli (mfano sehemu maalumu ya barabara hasa kwa baisikeli, sehemu za kupaki baisikeli, sehemu za kuoga baada ya kupanda baisikeli)
* Kuhamasisha na kuwashauri serekali kuweka mazingira mazuri na salama kwa usafirishaji wa mizigo kwa baisikeli
* Kushirikiana na mashirika mengine ambayo yana malengo kama haya
* Kuhamasisha waendesha magari kuheshimu na kuwapa nafasi wapanda baisikeli na kuwapa haki zao barabarari
* Kuhamasisha wapanda baisikeli kuendesha salama, mfano kutumia taa usiku, kutumia kofia ngumu (helmet) na kujua sheria za barabarani
* Kuwasaidia watu ambao wameumizwa na waendesha magari wakati wa kupanda baisikeli ili kupata fidia zao<ref>[http://www.geocities.com/uwabadar/katiba.htm Katiba na Malengo ya Umma]</ref>
==Kamati==
Wanakamati wa Umma:
 
*Mejah Mbuya, [[Mwenge]] - Mwenyekiti
*Elaine Baker, [[Kigamboni]] - Katibu
*Juma Ali Salehe Jongo, Manzese - Mweka Hazina
*Rashid Karanji, [[Manzese]]
*Sosthenes Amlima, [[Ubungo]]<ref>[http://www.geocities.com/uwabadar/#kamati Kamati ya UWABA]</ref>
==Marejeo==
{{marejeo}}
==Viungo vya Nje==
*[http://www.geocities.com/uwabadar Tovuti Rasmi ya UWABA]
 
{{mbegu-Tanzania}}
 
[[Jamii:Mashirika ya Tanzania]]
[[Jamii:Dar es Salaam]]
[[Jamii:Usafiri wa Tanzania]]
 
{{stub}}